Kuwa Staa raha sana.Baada ya Diamond kutumiwa video na mrembo wa Kenya akimtaka amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha  kimahaba kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza sawa sawa....

Sasa Mrembo huyo amerudi tena na kali zaidi ya ile . Mrembo huyo ajulikanae kama Tiara ameachia  video  nyiningine  akiwa bafuni akioga huku wimbo wa Bebe Cool unaitwa i will love you everyday ukilia kwa nyuma ili Diamond amuone Vizuri kwani ile Video ya Mwanzo ilikuwa na Giza... Wach Video Here Below

Post a Comment

 
Top